Azam TV

TV Channel · Tanzania

Azam TV ni kampuni ya matangazo ya televisheni iliyopo nchini Tanzania na inayomilikiwa na mfanyabiashara Saidi Salim Bakhresa. Kampuni ilianzishwa mwaka 2013 jijini Dar es Salaam, Tanzania. Makao makuu yake yapo Tazara, barabara ya Nyerere. Kampuni hiyo inarusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki na ya kati (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Malawi n.k.).

Visit Website — Azam TV Add to Favorites Claim this listing

About Azam TV

Azam TV ni kampuni ya matangazo ya televisheni iliyopo nchini Tanzania na inayomilikiwa na mfanyabiashara Saidi Salim Bakhresa. Kampuni ilianzishwa mwaka 2013 jijini Dar es Salaam, Tanzania. Makao makuu yake yapo Tazara, barabara ya Nyerere. Kampuni hiyo inarusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki na ya kati (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Malawi n.k.).

Text: Wikipedia · CC BY-SA 4.0

Contact & Social Media

Website
azamtv.co.tz

No public contact details yet.